MCHANGO WA HARUSI

Familia ya ANYIMILE MWAKANOSYA wa Tukuyu - Mbeya

Inayofuraha kukujulisha/kuwajulisha:
Bw/Bw & Bi/Mch/Pro/Dr/Mwl/Ndg


Jina la Mchangiaji Hapa


Kuwa Kijana wao Mpendwa

LUKA ANYIMILE MWAKANOSYA

Anatarajia kufunga ndoa tarehe 02/08/2025 hapa Dar es Salaam.
Ukiwa kama Ndugu, Jamaa au Rafiki wa karibu wa familia hii,
unaombwa/mnaombwa Mchango wa hali na mali kufanikisha shughuli hii muhimu.

Mwisho wa kutoa mchango ni tarehe: 25/07/2025

Tafadhali kabidhi mchango wako kwa aliyekupa kadi hii.

Mchango wa Single: Tsh 50,000/=
Mchango wa Double: Tsh 70,000/=